Sponsor

banner image

recent posts

Mara ya kwanza kumtembelea mpenzi wangu niende na zawadi au pesa?


Wakuu salam
Huwa nina utaratibu wa kubeba zawadi ninapoenda kumtembelea mtu nyumban kwake hasa kwa wale watu wangu wa karibu na inakuwa rahisi sana kuselect aina ya zawadi sababu nawajua vema. Nimepanga kumsurprise mchuchu wangu nyumban kwake ila bado sijajua nibebe nn mkononi sababu haishi yeye peke yake, yupo pamoja na mzaz wake wa kike, mbaya zaidi sijawah fika kwao hapo awali so sifaham hasa idadi kamili ya family members nitakaowakuta hapo. Embu mnipe mawazo wadau sitaki kukosa point tatu za away, nibebe vitu vya aina gani au tu nikiwapa cash itakuwa poa?
Mara ya kwanza kumtembelea mpenzi wangu niende na zawadi au pesa? Mara ya kwanza kumtembelea mpenzi wangu niende na zawadi au pesa? Reviewed by Love Psychologist on April 08, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.