Sponsor

banner image

recent posts

Mbinu Mpya wanayotumia wadada Kutafuta ndoa Kwa Nguvu



Wakuu salaam,
Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma,
Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto.
Mchezo wake ulianza ivi.....
Siku ya kwanza alikuja na chupi 2, moja
akaifua kisha akaiacha bafuni, nyingine akaivaa asubuhi, akasepa...
Siku ya 2 alikuja usiku akiwa amevaa khanga,.,asubuhi akaifua na kuianika nyuma ya mlango kisha akapita ivi.
Siku ya 3 akajisaulisha pete na hereni juu ya meza yangu, nilipokuwa namsindikiza njiani akaniambia
'Baby utanitunzi nimesahau hereni
zangu mezani'
Siku ya 4 akaja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2, akavua high heels na kuziweka kwenye Shoe rack,asubuhi akaondoka na flat shoes kwenda kwao.
Baada ya mwezi gheto zima limeajaa vitu vyake na ukizingatia chumba chenyewe kidogo nashindwa ata kuleta totozi nyingine maana zitaona vitu vya kike kwangu na iwe msala.
Sa ivi naona anajiandaa kuja na begi kabisa kwangu kisha baada ya mda aniambie 'Honey I miss my days' Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls, Siku hizi kuna Missed days,.......kitakachofuatia apo mi mwenyewe sijui
Mbinu Mpya wanayotumia wadada Kutafuta ndoa Kwa Nguvu Mbinu Mpya wanayotumia wadada Kutafuta ndoa Kwa Nguvu Reviewed by Love Psychologist on April 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.