Sponsor

banner image

recent posts

Mbona kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu?



Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina muda mrefu sana kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu sana dushe kuingia. Mpaka nifanye maandalizi kwa muda mrefu sana, vinginevyo sipati kitu.

Inaniwia vigumu sana kufanya foreplay kwa saa nzima, wadau hii inasababishwa na nini, kama kuna mtu ana experience na hii ishu anisaidie.
Mbona kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu? Mbona kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu? Reviewed by Love Psychologist on April 18, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.