Sponsor

banner image

recent posts

Mchumba wangu anaforce anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu



Aman iwe juu yenu wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nina mchumba wangu ambaye kwa sasa Niko naye kama miaka miwili hivi na nusu

Ananipenda sana nami pia nampenda kiroho mbaya maana ananijali sana hadi nahisi kama si sawa kwa baadhi ya mambo

Toka mwaka Jana mwez wa kumi nikawa simuelewi anataka nini kipindi tuwapo kwa sita kwa sita. Analazimisha kuchukua dudu Yangu ajiwekee kwenye mtaro wa maji machafu

Siku nyingine anajifanya kama haon anaikaria kupitia mtaro wa maji machafu lakin Mimi nimekuwa nikipinga sana juu ya kitendo hiki

Huyu msichana ananichanganya sana juu ya hatima ya penz letu na uchumba wetu

Juzi kalazimisha kabisa kwa nguvu lakin nikakataa cha ajabu toka juzi nikatae naona kama penz limepungua kwa kias flan hivi kikubwa sana. Hata anavyo ongea si kama anavyoongea siku zote

Je nimfanyeje huyu binti nikubali tu anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu ili nilinde penzi letu ambalo sasa limetetereka kwa kias kikubwa kisa tu sitaki kupita kwenye mtaro wa maji machafu

Penz Langu linaangamia kabisa

Mchumba wangu anaforce anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu Mchumba wangu anaforce anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu Reviewed by Love Psychologist on April 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.