Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usiende na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.
tujihadhali, ukimwi bado upo,
Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama
Reviewed by Love Psychologist
on
April 18, 2019
Rating:
No comments: