Sponsor

banner image

recent posts

Nimekuta Picha za Utupu za Girlfriend Wangu Kwenye Simu yake...Ushauri Please



Jamani Wapendwa Sikukuu ya Pasaka imenikalia Pabaya leo yaani, My girl kaja kulala kwangu ili leo tusherekee wote hii siku kuna mahali tunaenda out of Town, ila sasa asubuhi ya leo wakati tunajiandaa nikachukua simu yake nikawa nampiga picha alivyopendeza baada ya kuvaaa sasa katika kuziangalia zile picha nikakutana na picha zingine za utupu alizopiga like one week ago, Sasa najiuliza hizo picha alipiga kwa ajili ya nani je alimtumia mtu maana kama ni mimi hakunitumia, nimemuuliza anasema alijipiga kujifurahisha, Nikajiongeza nikaenda kwenye File Manager kule nikazikuta kwenye sent upande wa Whats Images ila haionyeshi aliyetumiwa..Yaani hapa niko nae ila kama simwamini tena jamani naombeni ushauri.
Nimekuta Picha za Utupu za Girlfriend Wangu Kwenye Simu yake...Ushauri Please Nimekuta Picha za Utupu za Girlfriend Wangu Kwenye Simu yake...Ushauri Please Reviewed by Love Psychologist on April 01, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.