Wakuu niko njia panda nimekwama sina msaadaKuna mwanamke nimemtongoza wiki sasa lakini hataki kunipa jibu hata nikimkumbushia.Nisipomtafuta anagomba kwanini simtafuti.Wakuu nifanyeje? Je, atakuwa ananipenda?
No comments: