In short kwangu imekuwa sio kitu kipya kuona mwanamke mwenye miaka 50 kuniseduce na sijajua ninakosea wapi mpaka inakuwa hivyo.
Mimi ni kijana mwenye 30's ninashangaa sana kuona wanawake wenye miaka kuanzia 40 na kuendelea wanavutiwa sana kimapenzi na mimi mpaka huwa ninaogopa kuwa ni mtihani gani huu!.
Wengine ni watu ninaowaheshimu sana mpaka kuwaangalia ninaona aibu yani ninaishia tu kuwazungusha tu kwani mimi sijawahi kuvutiwa na mwanamke aliye juu ya 35.
Wakuu ninakosea wapi mbona hii kama mikosi au laana kwangu nifanye nini?
Tatizo liko wapi au ninakosea wapi?
Ninapendwa sana na wanawake wakubwa sana kwangu
Reviewed by Love Psychologist
on
April 18, 2019
Rating:
No comments: