Sponsor

banner image

recent posts

Unamkataa Mtu Halafu Unamtangaza Chuo Kizima au Ofisi Yote Hadi Walinzi Wanajua

Kuna watu wa ajabu sana.
Anatokea mtu anaweza kuwa mwanamke au mwanaume kuomba mahusioni ya kimapenzi kwa mwingine.

Sana sana kwenye jumuia mfano chuo,maofisini na ata kwenye viwanda mahali ambapo watu wanakutana mara kwa mara.

Mtu amekutungoza umemkataa au amekukuta tayar una mtu unaishi nae kuna sababu gan kumtangaza kwa watu wote kua fulan nimemkataa.

Kinachokufanya kila mtu
kumwambie kua umekataa mtu fulani nini?
Ili uonekana unatafutwa sana na watu au mzuri sana.

Ukimkataa mtu na yeye akikuelewa basi hakuna sababu yakutangaza chuo kizima au ofisi yote adi walinzi wajue.

Wenye tabia hii acheni Mara moja.
Unamkataa Mtu Halafu Unamtangaza Chuo Kizima au Ofisi Yote Hadi Walinzi Wanajua Unamkataa Mtu Halafu Unamtangaza Chuo Kizima au Ofisi Yote Hadi Walinzi Wanajua Reviewed by Love Psychologist on April 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.