Sponsor

banner image

recent posts

Upweke unauma, natafuta mwenza



Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.

Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.

Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila lolote akiwa Msukuma, Muhaya na Mnyamwezi nitafurahi zaidi.

Awe anajishughulisha kwa chochote, sitaki wanafunzi wa chuo ni wasumbufu aisee. Nahitaji mahusiano ya kudumu aliye serious accoment hapa.

Ninaishi Mbezi Msakuzi nyumba yangu kubwa nahitaji mwanaume wa kuunguruma jamani.

NB: Muonekano wowote, kilema si ugonjwa
Upweke unauma, natafuta mwenza Upweke unauma, natafuta mwenza Reviewed by Love Psychologist on April 26, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.