Sponsor

banner image

recent posts

Utumwa wa mapenzi katika ndoa



Angalizo: mada hii haiwahusu kabisa watu ambao hawajaoa au kuolew hata kama upo kwenye mahusian miaka 100.
Naanza kw salam wakuu. Katk kautafit kidogo nlikofanya nimebain kuwa kuna utumwa Mkubw sana unaendelea katika ndoa. Na waathirika wakuu katika utumwa huu kw 100% ni wanaume. Kama umeoa na unakutana na moja kati ya mambo yafuatayo basi jua ww ni miongon mwa watumwa wa mapenzi ktk ndoa. Na nimegusia kw wanandoa zaid kwan kama hamjaoana ni ngumu saana kw mke kufanya utumwa huu kw mchumb wake.

1. Kama upo na mkeo na haumwi chochote na ukamtaka akupe "game" kw njia yoyote ile uliozoea afu yy akakukatalia kw namna yoyote, then badae kw muda wake akaamua kukupa labda kw kuona ukekasirk au na yy muda huo anawashw, lakin kukupa kwake ni kwa mtego iv kama kukukanyaga na mguu au kukusukuma kama mmelala au akakuonesha titi tu nawe umepagaw na kurukia ukaanz kum prepare, basi jua ww ni mtumw wa mapenzi. Katk nukta hii inavotakiw kw kuwa alikataa haimpasi mwnaume aanze kumpanda mke bali inanoga kama mke atajirud na kumpa vitu mumewe hapo itafaa na italinda heshma yako kama wanaume. Na kama hatajirud na siku iliofuata ukaanz tena ww kupapatikia game basi hata kama atakupa jua upo katik utumwa wa mapenzi ndani ya ndoa.

2. Kama upo katka ndoa ila kila siku ww ndo unakuwa unamuanz mwenzako katika muda wa wakubw ila yy walaa hana time ya kupapatikia penz na ukaw ww ndo kila siku mpak umuanz basi jua upo ktk utumwa wa mapenz. Kw sababu zipo siku utatak kufanya mapenz na haupo tayar kumuanz kw sabab nyingi umekwzka kazin au hata yy amekukwz sasa upo tu umetulia sasa hapo ndo muda wa mwenzk kukuanza na hilo hutoa hasira na msongo wa mawaz na hata kama alikukera basi hasir zinaisha.

3. Kama upo katk ndoa ila muda mwingi kama sio wote yan ww ndo inaonekana ndo muhitaj saana wa mapenzi kw mwenzio kuliko mwenzio. Yan unakuta una ham ya kufanya mapenz mkeo ila yy haonesh hata siku moja kwamba nayeye kashkika sawasawa na anatak vitu basi jua ww piá n mtumwa wa mapenzi. Hii ni kw sabab haiwezekan hata siku moja kwamb iwe na yy anahitaj ila atakuw anfanya kusudi na amekufany mtumw ila si kama hataki

Itaendelea...
Utumwa wa mapenzi katika ndoa Utumwa wa mapenzi katika ndoa Reviewed by Love Psychologist on April 29, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.