Sponsor

banner image

recent posts

Wanawake wengi hawana muda wa kukusubiria ufikie malengo yako, wanataka mwanaume mwenye mafanikio tayari



Ukiuliza wanawake wengi watakuambia wanataka kijana mwenye maono atakama hana fedha, Kwa sababu wengi wao wanaogopa kusema waz wazi wanataka wanaume wenye hela/mafanikio tayari, kwa kuhofia jamii itawachukilia vibaya, na ni wachache wenye ujasir wa kusema wazi wazi wanataka wanaume wenye ela.

Na hii ni kutokana na ukweli kwamba wanawake walio wengi na sio wote, wanataka mwanaume ambaye tayar anamafanakio hawako tayar kuingia gharama ya kuyatafuta hayo mafanikio, Na vijana wengi wamajimudu kimaisha ila hawana hayo mafanikio wanayoyataka wanawake.

Kwa sababu Kwa vijana wenye mafanikio wanayoyataka wanawake in kuanzia miaka 32+ kuendelea na wengi wao wameshaoa tayari, kwa hy wanawake weng wanaishia kua michepuko wanapo date na hili kundi LA vijana

Nini kinafuata inabid vijana tutumie uongo wa hali juu, ata akija kujua ukweli tayar ni mke wako na ujauzito juu, Kwa sababu wanawake wengi sio wote hawapend ukweli
Wanawake wengi hawana muda wa kukusubiria ufikie malengo yako, wanataka mwanaume mwenye mafanikio tayari Wanawake wengi hawana muda wa kukusubiria ufikie malengo yako, wanataka mwanaume mwenye mafanikio tayari Reviewed by Love Psychologist on April 08, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.