Sponsor

banner image

recent posts

Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa




Hivi inaweza ikawa tatizo ni nini jana nilikuwa mzima wa Afya wala sikuwa na dalili au ata chembe ya kupata homa,

ila kwenye mida flani hivi ya jioni alikuja kidemu changu kimoja hivi aligoma goma sana kumla kwa msemo kwamba hayuko poa lakini ukimcheki machoni ni yu buheri wa Afya 100%,

Sasa baada ya michezo ya hapa na pale tukajikuta tu tayari tuko ucheeebe, nikala mzigo,

Usiku ulivyoingia nikawa najisikia kama siko poa flani hivi nikapotezea, Asubuhi kahoma ka kishakaji ila mchana huu naona homa kabisa hii niliyonayo,

Hivi tatizo linaweza kuwa nini wakuu,

Hapa nilipo Sina Amani kabisa.




Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.