Ukienda kumtembelea dada yako aliyeolewa katika maongezi akakuonyesha makovu na akasema shemeji yako huwa ananipiga.Nashindwa kuachana naye sababu ya watoto" Utafanyaje??
Je, Utafanyaje kama utaikuta hali hii kwa dada yako??
Reviewed by Love Psychologist
on
May 03, 2019
Rating: 5
No comments: