Sponsor

banner image

recent posts

Kumekucha Uganda ni nchi ya tatu Afrika kwa Raia wake kufurahia Tendo la Ndoa Tanzania hata top 40 haipo!



Msininunie Mimi basi linunieni Gazeti la New Vision la Uganda ambalo ndilo limekuja na huu Utafiti wa Kimahaba.

Ni kwamba Nchi ya Uganda imeshika nafasi ya Tatu barani Afrika kwa Raia / Wananchi wake Kufurahia mara kwa mara tendo la Ndoa ( Kungonoka / Kubanduana / Kutinduana / Kutiana ) kuliko nchi zingine na kwamba katika Utafiti huo Tanzania si tu haimo katika top 40 bali imezidiwa na hata nchi za Somalia na Eritrea.

Kuanzia leo Watanzania tuache Kudanganyana kwamba sijui unamfikisha Demu wako / Mumeo kwani ukweli ni kwamba Watanzania hawatoshelezani na pia hawafurahii ipasavyo Tendo hilo la Ndoa japo kila siku tukiwa humu Mitandaoni tunajisifu kumbe hamna lolote!

Tusichoshane sana Source: New Vision online

Nawasilisha.
Kumekucha Uganda ni nchi ya tatu Afrika kwa Raia wake kufurahia Tendo la Ndoa Tanzania hata top 40 haipo! Kumekucha Uganda ni nchi ya tatu Afrika kwa Raia wake kufurahia Tendo la Ndoa Tanzania hata top 40 haipo! Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.