Sponsor

banner image

recent posts

Nilidhani ni story kumbe Kweli



Kuna jamaa angu tunafanya nae kazi sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi Ndugu simu yako ile smart ipo wapi?? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji... Aisee nilishangaa sanaa How yani??? How??? Afu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa


Wadada Punguzeni visiraniii..!
Nilidhani ni story kumbe Kweli Nilidhani ni story kumbe Kweli Reviewed by Love Psychologist on May 10, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.