Sponsor

banner image

recent posts

VIDEO:Wafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa


Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengerwa ameishauri Serikali kutekeleza mpango mkakati chini ya Magereza inahakikisha wafungwa wenye ndoa wanawekewa mazingira yatakayohakikisha wanapata haki ya tendo la ndoa hatua ambayo itasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo UKIMWI

VIDEO: CLICK Here
VIDEO:Wafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa VIDEO:Wafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.