Sponsor

banner image

recent posts

Hatimaye nimenasa kwa single mama mwenye watoto wawili walio darasa la 5





Nilikuwa ni mmoja wa wanaoponda single mamas humu ila mungu sio Athumani nikapata ka mama fulani hivi ka makamo nikaanza kujilia vyangu.

Mahusiano yetu yakadumu kwa wiki mbili nikiwa nafikiri kwa kichwa cha chini tu mpaka pale akili zilipoanza kurejea na kumuuliza kama alishawahi kuzaa au kuishi na mwanaume.

Dah hapo ndio akili ikakaa sawa na kuanza kukumbuka replies zangu za nyuma huku JF.

Kanipita miaka 9 ila sio mbaya bhana naendelea nae.Kiukweli ni mtamu balaa.Anajua mambo mpaka nasema huyu simwachi hata niambiwe alisomaa na Kingunge au alicheza na bi kidude.

Kwenye uwanja wa medani anajua kuliko hata hawa ambao hawajazaa na wanaumri wa ujana

====

Single mama wanajua kushawishi balaa,nilipohoji kuhusu miaka yetu akaja na reply hii

1548235281561-png.1002572


Hatimaye nimenasa kwa single mama mwenye watoto wawili walio darasa la 5 Hatimaye nimenasa kwa single mama mwenye watoto wawili walio darasa la 5 Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.