Kuna binti mmoja ninae kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mwaka sasa. Nikasema kama itampendeza Mungu mwaka huu nimpe binti bahati ya kuwa mke wangu
Leo amekuja kwangu baada ya kupata ruhusa toka kazini kwao ikabidi na mm nisiende kazi walau tupumzishane.
Wakati tupo home alikuwa anachat na shoga yake, kuna muda alikuwa anaingia bafuni kuoga akaniambia niendelee kuchat nae
Nikawa nachat na huyo shoga yake. Baada ya kuona analeta story sizielewi ikabidi nimuage ili niendelee kufanya yangu.
Sijui nn kilinituma ni check previous chat za mpenzi wangu huyo Shost ake. Nikakuta wanachat vitu vya kijinga sana. Nikagundua kuwa Wanasagana na huyo mwenzie.
Dem wangu alikuwa anamuaga. Mwenzie kuwa anakuja kwangu. Mwenzie akawa anamuonea wivu wa kimapenzi.
Ikanibidi nitoke na simu niende mbali ili nisome chats vizuri. Nikaona wanatumiana links za internet. Nikazifungua nikakuta wanatumia link za ebay zenye bei za DILDO/ Mbo.o bandia
Nikaendelea kufukunyua zaidi nikagundua kuwa mwanamke wangu ndio anaact Lady na huyo Shost ake ndio Man.
Yani wajameni nimevurugika balaa hata sijui nifanye nn
YAMENIKUTA:Nimeukuta huu ujumbe kwaye simu ya Mpenzi wangu
Reviewed by Love Psychologist
on
March 24, 2019
Rating:
No comments: