KUTOKA KWA MSOMAJI WA BLOG HII
Ndugu zangu nimekuja kwenu tena siku ya leo.
Kwa watu wasionifahamu mimi ni Mtafiti wa Mambo ya kitamaduni na Mambo ya kale.
Nilisoma Degree yangu ya kwanza ya mambo ya Sanaa hapo chuo kikuu cha Dar es salaam na kumaliza mwaka 1985. Nilienda kupata kozi mbalimbali za Elimu Dunia Kwenye nchi ya Uajemi(Iran). Baada ya hapo nilienda kujifunza botany nchini china kwa muda wa miaka 5. Vilevile Nilipata course kadhaa kuhusu masuala ya Wicca.
Nilienda kujifunza masuala ya Theology.
Leo nitaongelea namna ya kumvuta kipenzi chako au yule umpendaye aweze kukuelewa na uwe naye.
Kuna watu kadhaa wanaweza wasikubaliane na mimi lakini hili jambo lipo na ni kweli. Mambo haya hufanyika katika ulimwengu wa roho, sasa basi unatakiwa uwe makini na yule unayemchagua. Siyo kila mmoja au yeyote lazima uwe specific.
===================================
1. KUTAFUTA MPEZI ANAYE KUFAA KUPITIA RITUAL
Amka asubuhi kabla ya jua kuchomoza kipindi cha mwezi ukiwa mchanga. Tazama upande wa jua linapotokea sema maneno haya:-
Sasa ninaomba nguvu ya jua na alfajiri.
Naomba uangaze mwanga katika nafasi ya giza.
Nisaidie, unibariki, na uniimarishe kwa upendo.
Asante
Fanya hivyo kila asubuhi mpaka mwezi unapokuwa umekomaa (Full Moon). Wakati wa full moon sasa.
Naomba niandike maneno haya kwa kingereza. Unaweza kuyatafsiri kwa kiswahili haina shida.
MAANDALIZI
A. Tafuta chungwa na Apple au matunda uyapendayo
B. Tafuta mishumaa(4) wa Pink(For love) au Mweupe (Kwaajiri ya Spirit)
C. Kama unaweza unaweza kwenda beach au sehemu yoyote iliyokaribu na maji.
D. Uwe na karatasi nyeupe, na kalamu nyekundu.
E. Ubani au udi.
E. Wakati jua linazama sema:
Great sun, father to the earth and protector of my life,
as your face sinks over the horizon please carry my alone-ness with you,
that I may be granted the peace and confidence
to accept into my life the love that I deserve.
Wakati Mwezi unaanza kuonekana washa mishumaa wako, chora duara huku mishumaa ikikuzunguka. Choma ubani wako (Udi). Chukua Kalamu na karatasi andika vitu unavyotaka kutoka kwa mwenzi wako. Kisha fumba macho na anza kusema:-
Divine partner, I call to you now.
While I don’t yet know your identity, the Universe
sees you on my behalf and knows who you are.
Like the moon naturally attracts and receives the light of the sun, I invite you to come to me now.
You, divine partner, who I love and who loves me;
You, who I trust and who is trustworthy;
You, who are beautiful and who see me as beautiful;
You, who are perfect for me and for who I am perfect
in all ways: obvious, subtle, expected, and unexpected;
I call you. I summon you. I invite you. I attract you.
Come to me.
Come to me.
Come to me
Ile karatashi itunze ikiwezekana uziunganishe karatasi zote ziwe mashairi yako ya umpendaye.
Fanya hivyo mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa. Siku ya Ijumaa inaitwa Venus Day. Ni siku ya Mapenzi.
Baada ya miezi chini ya sita utakutana naye na utashangaa sana.
Tutaendelea kuongea
Karibuni sana.
HAYA WASIOJUA KUTONGOZA KAZI KWENU:Namna ya kumvuta Mwanawake au Mwanaume kimapenzi - Dawa Asili
Reviewed by Love Psychologist
on
March 09, 2019
Rating:
No comments: