Sponsor

banner image

recent posts

HOT:Esma Platnumz Atia Neno Penzi la Diamond na Tanasha


Kinachoonekana sasa ni kwamba dada wa msanii Diamond, Esma Platnumz ameshindwa kabisa kukaa kimya kuhusu penzi la muimbaji huyo na mrembo Tanasha.

Esma amechapisha moja ya picha (ipo juu) ya Diamond na Tanasha kwenye ukurasa wake wa
Instagram na kuandika;

"Shoga yangu sio kwa hisia hizi za busu. Hapo ndio napommiss my New babe (wasirisiri) ila
mapenzi raha sana mdogo wangu umenawiri umependeza anayekataa Mchawi najua hakuna
anayekataa ila wivu tu," ameeleza.

Katika ujumbe huu Esma pia anaeleza kwa sasa yupo katika penzi jipya mara baada ya kuachana na
mazazi, mwenzie PatMan.
HOT:Esma Platnumz Atia Neno Penzi la Diamond na Tanasha HOT:Esma Platnumz Atia Neno Penzi la Diamond na Tanasha Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.