Kutoka Kwa Mdau
Kwa umri huu above 40 nimepitia mengi kwenye mapenzi. Hakika ukiwa na demu uliyemzidi pesa na elimu mambo huwa murua kabisa, kuanzia adabu na sex. Huwa wanakuwa na heshima, sex ni any time you want, hata kama yeye hajisikii atajitahidi akupe uridhike tena kwa ushirikano bora. Mahusiano na ndugu wa pande mbili huwa sio mabaya.
Sasa kutana na hawa wabeijing, wenye vielimu vyao na pesa ni balaa. Hapati genye mpaka umwimbie bebi bedi, na chokoleti juu nk. Yaani sex na adabu ni mgawo kuliko enzi za ukame mgawo waTanesco. Wana jeuri. Ndio maana utakuta mzee mzima na pesa zake toka pande za masaki, mbezi beach, oysterbay nk anakuwa na nyumba ndogo Tandika huko wa kumpunguzia siteresi na ma BP.
ILA WAPO PIA MADEMU MASKINI NI PASUA KICHWA, LAKINI SI ASILIMIA KUBWA KAMA WASOMI NA WENYE FEDHA.
Huo ni utafiti unaojumuisha maisha niliyopitia, sorry if I have arrived at the wrong conclusion from my sampling!!
Je hii ni Kweli? :Raha ya kuwa na mke/mpenzi uliyemzidi elimu na Fedha
Reviewed by Love Psychologist
on
March 05, 2019
Rating:
Reviewed by Love Psychologist
on
March 05, 2019
Rating:

No comments: