Sponsor

banner image

recent posts

Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa




Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,


Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako. 

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali. 

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.