Sponsor

banner image

recent posts

Kijana Ukitaka Kuoa Tafuta Mwanamke Mwenye Nyota..Mengine ni Mbwembwe tu..


Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyota
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua nakuona
STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopta na alikua mambo safi kwa sabab bahati ya hela anayo!! Ila baada ya kumuoa bidada mambo mengi yakawa yanadolola na ameshuka kawa kapuku kila analofanya linabuma!!
Sasa Siku chache zlizopta mke wake huyo kamshauri aongeze mke mwingine labda yy hana nyota ya mafanikio!! Kwan toka waoane mambo ndo yamekua upside down!!"

Hapo ndipo nilpokuja kukubali Yale ambayo nimewashuhudia kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao tu mambo yanakuwa yanakunyokea sana had unahis tofauti ( imenitokea)

Pia kuna jamaa mwingine alioa mwanamke mambo yakawa yananyokaa alipomuacha mambo yake yakawa hayaendi walivorudiana nae mambo yakawaka tena!!

Nilshasikia hata mahubir ya dini nanukuu "kama Kijana unahangaika kufanikiwa hufanikiwi bas subir ukioa hapo nyota yako yaweza ng'arishwa"
HITIMISHO
Mwanamke utae muoa ndie anadetermine nyota yako ing'ae,au ififie
Kijana Ukitaka Kuoa Tafuta Mwanamke Mwenye Nyota..Mengine ni Mbwembwe tu.. Kijana Ukitaka Kuoa Tafuta Mwanamke Mwenye Nyota..Mengine ni Mbwembwe tu.. Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.