Sponsor

banner image

recent posts

NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha

Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.

Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za sinema za x hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.

Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?
NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.