Sponsor

banner image

recent posts

KIMENUKA..Anerlisa Adaiwa Kufuta Picha za Ben Pol

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ben pol  amabae alikuwa katika mapenzi mazito na mwanadada anerlisa kutoka nchinu uganda inasemekana kuwa penzi lake na mwanadada huyo limeota mbawa hasa baada ya wawili hao kutokuonekana pamoja hivi karubuni na hata mwanadada huyo kufuta picha za msanii huyo katika ukursa wake.

Wawili hao ambao walifika mpaka katika hatua ya kutambulishana kwa wazazi wanasema kuwa inawezekana kwa sasa wako katika migogoro na ndio maana hata mwanadada hyo ameamaua kufuta picha aliwahi kupiga nae hasa zile za siku ya utambulisho.

Lakini pia mwanadada huyo anaonekana kum-block mwanamuziki huyo kutoka tanzania ingawa bado haijathibitika kama wako katika mtafaruku, wameachana au wana sababu zao binafsi za kufanya hivuo.
Loading...
KIMENUKA..Anerlisa Adaiwa Kufuta Picha za Ben Pol KIMENUKA..Anerlisa Adaiwa Kufuta Picha za Ben Pol Reviewed by Love Psychologist on March 11, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.