ForePlay
Mwanaume anaweza huchukua sekunde chache kumvua mwanamke nguo zake za ndani. Lakini mwanamke ni kama chungu cha kupikia, huchukua muda kushika moto, lakini baada ya kupata moto, hutumia muda tena kupoteza joto lake hatakama moto umezimika. Kama hautaweza kumchezea viungo vyake vya mwili vizuri na kwa ustadi, hataweza kufurahia tendo na hivyo hutaweza kumfikisha kileleni.
Kwa hiyo kama kweli unataka kumridhisha mwanamke kitandani, usiogope na pia usiwe na wasiwasi kwamba hautamfikisha kileleni, wala usikamie kumfikisha kileleni. Unachotakiwa ni kujali tu wewe na yeye muwe na good time kitandani - wote mfurahie tendo. Elewa kwamba, hiyo idea itakufanya ufanye maajabu katika mapenzi ambayo haukuwahi kuyafanya hapo awali.
Wanaume wengi Hawajui Foreplay, Wanachojua ni Kuingiza ztu Dudu..Soma hapa
Reviewed by Love Psychologist
on
March 11, 2019
Rating:
Reviewed by Love Psychologist
on
March 11, 2019
Rating:

No comments: