Sponsor

banner image

recent posts

MAZOEZI YA KUKATA KIUNO SIO WAKAA KM GOGO KITANDANI




(1)ZOEZI LA KWANZA:

Waweza anza ivi ..Chuchumaa chumbani kwako au sehemu yoyote ya faragha shika kitanda au kiti uku umechuchuma aza kuzungusha kiuno kwa kuchora O AU SIFURI. CHORA SIFUR ZAIDI YA MARA 20 AU 100.KISHA PUMZIKA. SIKU ZA MWANZONI KIUNO KITAUUMA ILA NDO MWANZO MZURI WA KUWA HODARI MBELENI. UKIENDELEA KWA SIKU KADHAA UTAONA CHALAINIKA NA HAKIUMI TENA. 

(2) ZOEZI LA PILI: 

LALA CHALI WEKA MIKONO YOTE SHINGONI INUWA MIGUU KWA MCHORO WA V KAMA VILE UPO LEBAR chora sifuri unavyowezi zaidi ya 20 au 100. hapa unachora sifuri kwa kutumia makalio, zoezi ili nalo utalifanya kwa siku kadhaa hadi uweze na kiuno kilainike ili uwe hodari 

(3) ZOEZI LA TATU: 

Zoezi lingine la kufanya ni CHUMA MBOGA HII NDO RAHIS SANA CHORA SIFURI KWA KUTUMIA MAKALIO KWA ZAID YA MARA 20 HADI 100 UKIWEZA NA HU NDO MWANZO WA KUJIFUNZA FANYA HIVO KILA SIKU UTAONA RAHA NA FAIDA YAKE WAKATI WA KUMPA MUME MAUTAMU.KANA UJASKIA BWANA ANAPIGA YOWE SHIKAMOO MKE WANGU!!! KWA UNO ANALOPEWA. 

(4)ZOEZI LA NNE: chora 1 hadi 100 kwa kutumia kiuno na zoezi hili ulifanye asubuhi na jioni ukiwa huna nguo simama kwenye kioo shika kiuno anza kuchora namba wiki moja tu nyonga inakuwa lainiii, zoezi hili limewafanikisha wengi sana kulainisha kiuno wakati wa kufanya mapenzi kwasababu linafanya kiuno kiwe chepesii na uweze kuikatikia ndizi kwa kona zote na style zote mwanamke kiuno. -kumbuka: mazoezi ayo waweza anza moja moja baada ya jingine pale mwanzoni, UKIONA kiuno kimelainika sasa anza kufanya yote kila siku na pia anza kusimama kwenye kiooo uku wajiangalia mtoto ulivo ivaa .

MTOTO WAKIKE CHANGAMKA KITANDANI SIFA NI KUKATA UNO KUKAA KM GOGO UTAKIMBIWA SHAURI YKO.

MAZOEZI YA KUKATA KIUNO SIO WAKAA KM GOGO KITANDANI MAZOEZI YA KUKATA KIUNO SIO WAKAA KM GOGO KITANDANI Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.