Sponsor

banner image

recent posts

Mume Wangu Anatoka Kimapenzi na Mama yangu, Nimeona Meseji za Mapenzi Kwenye Simu ya Mume Wangu

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.



Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

Mume wangu: nimefika lv

Mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

Mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

Mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

Mume wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Naombeni Ushauri...
Mume Wangu Anatoka Kimapenzi na Mama yangu, Nimeona Meseji za Mapenzi Kwenye Simu ya Mume Wangu Mume Wangu Anatoka Kimapenzi na Mama yangu, Nimeona Meseji za Mapenzi Kwenye Simu ya Mume Wangu Reviewed by Love Psychologist on March 22, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.