Sponsor

banner image

recent posts

Njia tatu hatari kwa wanaume kufanya mapenzi, Soma Hapa Usije Juta



Baada ya wanasayansi kufanya utafiti kuhusu ng0n0, wamegundua njia hatari kwa wanaume ya kufanya mapenzi Ngono bila shaka yafaa kuwa kitendo cha kujivinjari kati ya wapenzi lakini kwa wakati mwingine inaweza kuwa hatari.
Hii ni baada ya wanasayansi kufanya utafiti kuhusu kuvunjika kwa u-ume. Kwa miaka kumi na tatu, wanasayansi wamewahoji wanaume kadhaa wenye u-ume unaoonyesha dalili za kuvunjika. Imedhibitishwa kwamba hali ambayo mwanamke anafanya ng0no akiwa juu ya mwanaume, almaarufu kama c0w-girl, kwa mwanaume ndiyo hatari zaidi.
Katika harakati ya kushiriki ng0n0, mwanamke anaweza kukosa kudhibiti mwili wake na kusababisha kuvunjika kwa u-ume wa mpenziwe.
Endapo mwanamume atahisi maumivu akishiriki ng0n0 basi anafaa kuacha kujihusisha na mtindo husika wa ng0n0 haraka iwezekanvyo.
Kwa upande mwingine,imegunduliwa kuwa hali ya kufanya mapenz mwanamume akiwa nyuma ya mwanamke al-maarufu kama d0ggy-staili na ile ambapo mwanaume anakuwa juu ya mwanamke pia ni hatari.
Hata hivo wanasayansi wamewahimiza wapenzi kuendelea kufanya mapenzi kwa kuwa visa vya kuvunjika kwa u-ume haviko kwa wingi. Endapo mwanamume atahisi maumivu akishiriki ng0no basi anafaa kuacha kujihusisha na mtindo husika wa Mapenz haraka iwezekanvyo.
Njia tatu hatari kwa wanaume kufanya mapenzi, Soma Hapa Usije Juta Njia tatu hatari kwa wanaume kufanya mapenzi, Soma Hapa Usije Juta Reviewed by Love Psychologist on March 22, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.