Sponsor

banner image

recent posts

Nai Adai Kutongozwa na 99% ya Wasanii bongo

Mwanadada Nai anaejulikana kama video queen katika nyimbo mbalimbali lakini pia amekuwa make-up artist wa wasanii mbalimbali amefunguka na kusema kuwa uzuri wake umekuwa ukiwazingua wakina kaka wengi sana mitaani.

Nai ambae ukiachana na kujulikana kama video queen lakini pia ni mpenzi wa msanii Moni Centrozne anasema kuwa amekuwa akisumbuliwa sana na wasanii wa kiume na kumtongoza sana kutokana na uzuri aliokuwa nao.

Nai anasema kuwa ni vigumu labda kuamini lakini 99% ya wasanii wakiume wamekuwa wakimtongoza liacha ya kuwa wanajua kuwa yuko katika mahusiano na msanii mwenzao.
Nai Adai Kutongozwa na 99% ya Wasanii bongo Nai Adai Kutongozwa na 99% ya Wasanii bongo Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.