Sponsor

banner image

recent posts

Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu





Kutoka kwa Mdau

Salam,

Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife kubaini chat (mazungumzo) baina yangu na mipango kando yangu.

App hiyo inayotumia finger prints kuna mda inajisahau na kushindwa kifanya kazi yake.

Kila kitu kinakuwa wazi,

Hata ile secure SMS ilishashindwa kaziya kudhibiti udukuzi huo.

Wife kanibamba kila kitu nikabaki mudomo wazi!! Dadek!

Kama nkisoma vizuri terms& conditions za app hiyo naweza kuishitaki na kujichotea mamilioni.

Can't rate even a half star to that shit!!

Nimeamini simu za Button ndio hazikoseagi kabisa kuhusu privacy lock.

Hapa siku ya 3 sasa napambana na kesi za nyumbani. Mzigo sipewi Hata kula hatuli pamoja nimepewa Ban'

Wadau ni IPI app lock nzuri isiofanya makosa.

Asantr.
Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu Nitafungua kesi dhidi ya app lock iliyoleta mgogoro katika ndoa yangu Reviewed by Love Psychologist on March 18, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.