Sponsor

banner image

recent posts

Shemeji yangu amenilazimisha nitoke nae na amefanikiwa



Kutoka kwa Mdau


Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila siku ndo mchezo hadi sasa ana mimba.

Sijui ni ya nani maana bro huwa anakuja weekend au wakati mwingine after two weeks

NIFANYEJE wadau mana sina pa kwenda zaid ya hapa ndio kwanza ni ka mradi nimekaanzisha?

Shemeji yangu amenilazimisha nitoke nae na amefanikiwa Shemeji yangu amenilazimisha nitoke nae na amefanikiwa Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.