Sponsor

banner image

recent posts

Siwezi Kumuacha Mc Pilipili Hata Nikimfuma na Mwanamke Kitandani- Qute Mena

Siwezi Kumuacha Mc Pilipili Hata Nikimfuma na Mwanamke Kitandani- Qute Mena






Mchumba wa MC Pilipili, Qute Mena amesema yeye binafsi hawezi kumuacha mwanaume kwasasababu amemsaliti.

Qute Mena amesema kuwa akisema amuache aende kwa mwingine mwisho wa siku ataonekana malaya na kuonekana kuwa yeye ndiye anayehangaika.

"Mimi binafsi yangu siwezi kumuacha mtu kwasababu amenicheat kwasababu nikisema nimuache niende kwa mwingine nae atanicheat ntaenda kwa mwingine tena atanicheat mwisho wa siku ntaonekana malaya na ntaonekana mimi ndio nahangaika ili huyu anapocheat lazima tukalishane vikao vizuri ili tupambane ili hayo yasitokee," alisema Qute Mena.

Hata hivyo ameshambuliwa mitandaoni kutokana na kutoa kauli hiyo.

Siwezi Kumuacha Mc Pilipili Hata Nikimfuma na Mwanamke Kitandani- Qute Mena Siwezi Kumuacha Mc Pilipili Hata Nikimfuma na Mwanamke Kitandani- Qute Mena Reviewed by Love Psychologist on March 29, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.