# SOMA_HII
Kama ngono ingekuwa inamfanya mwanaume aowe basi pengine makahaba wote wangekuwa wameolewa maana
wengi wako vizuri,inshort hiyo shughuli wanaiweza tena sana
tu.
Mwanaume anakaa na mwanamke anayemsaidia sana sio
anayefanya naye ngono Sana.
Fikiria namna ya kumsaida mwanaume ambaye Mwenyezi
Mungu Amekupa.Dada angu fikiria namna ya kuongeza
thamani kwenye maisha ya Mwanaume Mungu aliyekupatia.
Kama ukimuona mwanaume tu kichwani unawaza
kudanga,kuchuna,mashindano.Utaishia kujiuliza mbona
siolewi ?na kama umeolewa utaishia kusema mbona ndoa
yangu haieleweki?
Mungu alimwambia Adam kwamba atampatia msaidizi wa
kufanana naye.Sio mtu wa kushinda naye,sio mtu wa
kumchuna,sio mtu wa kumchukulia poa poa....
Ukiona upo katika mahusiano na huna cha kutoa zaidi ya ngono,ujue siku zako zinahesabika... kuwa aina ya
mwanamke ambaye mwanaume akijitazama ataishia
kusema bila huyu mwanamke mimi ningekuwa kenge fulani
hivii wa mwituni.
kuna siku raisi Obama aliwahi kulia hadharani machozi ya
furaha alipotaja jinsi Michelle alivyokuwa sababu ya yeye
kuwa Raisi wa Marekani..
Share

SOMA HII ITAKUSAIDIA KUBADILI MTAZAMO WAKO
Reviewed by Love Psychologist
on
March 18, 2019
Rating:
No comments: