Akiwa bado yuko safarini baba anold akajisemea
"enhee wacha leo nimsurprise wife"
na alitaka afanye hivyo ili kuupima uaminifu wa mkewe
baadaya kusikia maneno ya wambea wakisema mkewe
huwa anamsaliti jamaa anapokuwa safarini.
Akaanza safari by saa 2 na robo alikuwa ameshafika pale
mtaani,akaamua aende kwenye baa moja hivi ili apoteze
kidogo muda ili ikifika saa tano aingie ndani kwake ni
kama mwendo wa dakika 15 tu kutoka hapo alipokuwepo
na nyumbani kwake, kwa wasiotaka kujipa tabu
bodaboda ni tsh.1000
Akamchek Whatsap wife akaona yuko online ilipofika
saa tatu akapokea text kutoka kwa mkewe
"Mambo dear!
Jamani I miss you mpaka naumwa,tangu asubuhi sijatoka
nipo ndani tu nataka nioge nipumzike.......
Mumewe akajibu Ooh pole Darling miss you too.....
akamtumia wimbo wa diamond unaosema " ukilala lala
salama kumbatia picha yangu"
Mkewe akamwambia nimeona audio umenitumia nikioga
ntaiskiliza my ,akatoka hewani saa hiyo.......
Jamaa ilipofika saa tano kamili akamchek online akaona
tangu saa ile aliyosema anaingia kuoga hajaonekana tena
online last seen today at 9:17 ilisomeka hivyo.
Jamaa akaanza mdogo mdogo kwenda kwake.....hahaa
nahitaji concentration yako hapa.
Alipofika akagonga mlangoni hakuna aliyetoka kuja
kumfungulia,akazunguka kwenda kwenye chumba cha
mkewe akakuta giza akagonga dirishani wapii!!
Akaita kwa sauti "Jessica!! Jessica! We Jessica! Mama
anold! Kukawa kimya......akazunguka chumba cha watoto
wake japo alikuwa anajua anawasumbua wamelala
Alikuwa anajua fika mama yao yuko ndani ila labda ako
na mwanaume mwingine.
Anold anold! Dogo akaitika alipoamka akauliza nani
Ni Mimi baba yako hebu nenda sebuleni fungia mlango
wakati huo watoto wote watatu wakawa wameamka wana
furaha kuona baba yao karudi
Lkn baba hana furaha kama walidhani wao.
Dogo akashika kitasa kufungua mlango wa chumba Chao
kumbe umefungwa haa!mbona mlango haufunguki wewe
joy funguo ikwap
Mbona akati tunalala ilikuwa kwa nje?alijibu joy
Baba tunaomba mwambie mama atufungulie kwa nje
maana ametufungia.....what??baba alihamaki kwa hasira
akaamua kupiga simu kwa mkewe kama Mara tano inaita
tu haipokelewi
Akarudi tena kwenye chumba cha mkewe ili apige akiwa
anachungulia ndani na alipopiga simu akaona Mwanga
wa simu ipo kitandan MWENYE simu hayupo
Kumbe ametoka yuko nje ndio maana watoto
aliwafungia ili wakitoka wasiweze kujua
kinachoendelea.....
Mr alikuwa kama amechanganyikiwa omba isikukute hii
hali aisee!
Yaani anaenda kufanya upumbavu wake usiku
anawafungia watoto wangu?je kama ni nyumba imeshika
moto wataokokaje huyu mwanamke muuaji!!
Oky haina shida ndio matokeo ya wanawake tunaokutana
nao stend hawa!alijisemea baba anold
Hakujua afanye nini watoto wapo dirishani wanamsubiri
dadii alete jibu,dadii hataki wajue kama mama yao
hayupo,ni moja ya kiapo ambacho waliweka na mkewe
kwamba wakiwa na ugonvi wowote watoto wasijue
chochote ili kutokuwaathiri saikoloj yao kimasomo na
ktk ukuaji wao kwa ujumla wake.
Alichofanya akaenda akawaambia watafute bisibisi pale
chumbani kwao ndani akawaambia cha kufanya pale
kwenye kitasa wakafanikiwa kufungua moja kwa moja
wakaenda chumbani kwa mama wakakuta hayupo aaaaah
sasa mamii ako wapi???
Baba yao akawaita njooni huku mlangoni walipoenda
hakuna ambacho wangefanya maana pana mlango wa
geti na ndio uliofungwa na kufuri za solex ila mlango wa
mbao ulikuwa wazi.
Kwahiyo waliendelea kuongea na baba yao pale
mlangoni wakamuamkia......swali la Mtoto wa kike
lilikuwa je,sasa mama yuko wapi usiku wote huu baba?
Usijari atakuja muda si mrefu labda anaumwa ameenda
kutafuta dawa hospital"aliwajibu baba ili kupotezea......
Baada ya muda ikiwa ni saa sita na nusu za usiku baba
akawaambia kalaleni mimi nitakuwa hapa mlangoni
namsubiri mama yenu....
watoto wakamkatalia anold akasema haiwezekani labda
wakalale hawa ila Mimi siwezi kukuacha peke yako
baba.......na wale wengine wakasema hivyo
hivyo.......baba akawa hana la kufanya
Akakaa pale mlangoni na watoto wakakaa kwa ndani
Kutokana na uchovu wa safari akawa amepitiwa na
kiusingizi.....na watoto pia wadogo wawili wakawa nao
wamelala ila anold hakulala kuhakikisha usalama wa
baba.
Ikielekea saa saba kama na robo kumbe mama yao akawa
anarudi yuko ndani ya gari ya mchepuko anamleta home.
Walipokuwa karibu Jessica akaona kitu cha tofauti pale
mlangoni, akamwambia mwanaume azime taa akashuka
ili aone kufika akatambua ni mumewe, kule ndani asijue
Mtoto wake mkubwa anaona kila kitu.
Akarudi haraka kwenye gari, baba akiwa amezidiwa na
usingizi ila alilala mlangoni kabisa kiasi kwamba mlango
usingeweza kufunguka na asijue
Anold alishuhudia mama yake mzuri anarudi tena
kwenye gari na gari ikaanza kurudi reverse huku taa
zikiwa zimezimwa na muungurumo wa gari hausikiki
tena ikawa imepotea machoni pa anold ilikuwa kama ni
ndoto kwake.
Jessica na yule mwanaume wakapanga njama ili
mumewe akaondolewe pale mlangoni awe kama
ametekwa,kwa hiyo wakatafutwa vijana kama wanne
usiku ile ule wakamtoe pale mlangoni ili yeye arudi na
ionekane alikuwepo ndani
"Naomba msimfanye chochote au kumpiga wala
kumnyang'anya fedha hela nilizowapa zinatosha na kama
hamjaridhika niambieni niwaongeze kuliko kumwibia
mume wangu,mtoeni pale kamtelekezeni mahali
kwingine halafu Dereva atanirudia na hiyo gari haraka
ili anirudishe nyumbani" alisema Jessica akiwa na huyo
mwanaume na hao vijana watekaji.....sawa tutafanya
hivyo sister,walijibu
Haraka mchepuko wa Jessica ukaingia ndani na kuvaa
koti kubwa na kofia na wale VIJANA wakiwa wamevalia
soksi za kuzuia wasitambulikane na wakawa wako tayari
kuucheza huu mchezo
Dereva ni mchepuko wa Jessica
Wakati huo anold bado yuko macho anaombea tu kuche
haraka ili baba aamke salama pale
Dakika chache wakawa wamefika na gari wakashuka
VIJANA wakambeba kama mzoga baba anold,
Babaaaa babaaa babaa anold akawaamsha na wadogo
zake wakaungana kumlilia baba yao kutekwa na
majambazi ulikuwa ni usiku mgumu sana kwa hawa
watoto........
wakafika mahali wakamtelekeza baba anold wakarudi
haraka kwa mkewe wakamchukua na kumpeleka kwake
ile kufika tu akakutana na vilio vya watoto,akagungua
akaingia anold akakitoka nje huku analia anakimbilia
kwenye njia alikokuwa anapelekwa baba yake babaa
babaaa!
Mama akamkimbilia akamdaka akamrudisha ndani
nitakutandika wewe unaenda wapi usiku huu!??
Namfuata babaaa niachieee we mama ni muuajiii Mimi
sikupendi tenaaaa,mama akamzaba kofi pwa!
Unasemaje?Mimi nimekuzaa unataka laana??
Kwa utaalamu wa mama akafanikiwa kuwatuliza
watoto,na wakanyamaza akawakalisha chini akawaambia
baba yenu yupo akachukua simu kudanganya kama
anampigia "eeh VP umepona?
Aaah pole mume wangu karibu utatukuta maana hata
watoto wamegoma kulala mpaka wakuone..........
Akatoa simu sikioni akawaambia laleni mpumzike ila
naomba kama mama yenu mnampenda na hamtaki kubaki
yatima nisitirini mkiulizwa semeni mama alikuwa ndani
humu humu alilala kwenye chumba cha wageni
Akawaahidi kama wangefanya hivyo angewapa zawadi
nzuri sana.........
Baada ya nusu saa kupita akawa haonekani Mr akapiga
simu yake akaona haipatikani.
Akajiuliza wale walimpora simu nini!!
Saa moja ikapita akapata wasiwasi hapo watoto
wamekataa kulala ......akamwambia mwanae ngoja
nimpigie Dereva tax ili twende police kutoa report
Alipofika wa tax wakaenda kituo cha jirani....
Ile wanafika pale wamkuta police mmoja tu na yule
askari akasema hebu kuweni wavumilivu maana askar
wameenda kuna tukio la mwizi kuuawa mtaa wa Jirani
muda huu huu.........
Kumbe aliyeuawa ni mume wa Jessica wakati wale
VIJANA walipomtelekeza akawa anarudi kwake akapita
karibu na nyumba Fulani mlinzi alipomwona akamwitia
watu kwamba ni mwizi,akapigwa hadi akafa.........
Dakika kama 10 Jessica akaanza kupokea msg kwenye
simu za group watsap wakimpa pole maana wakati
anapigwa mumewe wapo waliomtambua kama ni baba
anold
Haaa!eti huyo mwizi kauawa mtaa gani?akamuuliza
askar.
Askar akasema mtaa wa kona.
Jessica akatoka kidogo pale mapokezi police akampigia
mchepuko eti mlimwachia wapi mume wangu? Mtaa wa
kona alijibu jamaa short cut
Pale pale akaanza kupaza sauti ya kilio
Askar akatoka vipi wewe unalia nini hapa kumbe mumeo
ni mwizi?ndio mavuno yake mama!
Ngoja nifupishe........uchunguzi ulipokuja kufanyika
ikaonekana Jessica ndiye mtuhumiwa namba moja wa
mauaji ya mumewe maana anold alijizira akasema
ataongea ukweli mahakamani kuisaidia police na
akaeleza mkasa nzima na Jessica akamtaja mchepuko
wake kuwa walishirikiana na wale watekaji
wakakamatwa na kila mmoja anatumikia kifungo cha
miaka 30 jera..........
Anold sasa hivi ni mtu mzima amesomea sheria ni
mwanasheria mzuri sana!
Tatizo pekee alilonalo amekataa kuoa haamini kamwe
mwanamke,ila anasema;
Siku moja akitoka mama yake atamuuliza maswali
matano:-
1.kwanini alikuwa akimsaliti baba?
2.hakukuwa na mbinu nyingine ya kufanya zaidi ya
mbinu ya kumteka baba?
3.kitu gani alikikosa kwa baba ambacho kilimfanya
amsaliti?
4.atanisaidiaje mimi na ugonjwa nilionao wa
kutokupenda na kutokusamehe?
5.nini faida ya yote aliyokuwa akimfanyia baba?
Katikati ya msiba wa baba yake aking'ang'ania jeneza
anold alilia alisema:-
Baba kwanini ulikuja kwa surprise?
Baba kwanini hukwenda kulala guest?
Baba mbona umetuacha hatujakukumbatia
Nachukia mlango wa geti nachukia funguo ya mlango
Namchukia aliyenizaa ni afadhari kama nisingezaliwa
Eeh mwenyezi Mungu ulinileta duniani ili nione
maumivu haya?mimiiii mimiiii ntaenda wapi mimiiii na
wadogo zangu hawa!huyu mtoto aliliza sana watu
msibani........
Yapo yanawatokea watu ila ni siri zao za ndani.
Tuwe waaminifu ktk ndoa zetu.
*
MWISHO

KISA: KWANINI ULIKUJA KWAKUSHTUKIZA BABA?
Reviewed by Love Psychologist
on
March 18, 2019
Rating:
No comments: