Ni matumaini yangu mu wazima....
Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar
Aise mpeni Msaada, Ndoa yake mashakani!!!
Reviewed by Love Psychologist
on
April 22, 2019
Rating:
No comments: