Sponsor

banner image

recent posts

Baada ya kula ujana vya kutosha, sasa natundika daluga, nimefanya mengi yanatisha na ili la .



Baada ya ujana kuuputia vya kutosha sasa naamua kuacha mambo haya hasa ya wanawake ,ninamrudia Mungu na ninataka kuwa mtu wa heshima sasa maana nimefanya mengi mno,
Nakumbuka nimeshatembea na wake za watu, watoto wa geti kali, wasichana wa vyuo, machangudoa mpaka baadhi ya ndugu wenye undugu wa mbali sana,

Nakumbuka nimewahi kutembea na mke wa daktari hapa Singapore kipindi nimekuja natafta kazi nikashindwa kuipata kwa wakati , yeye alinisaidia kwa masharti ya kumfanya ishu ya kikubwa...
Mke wa mzungu ananitaka, sijui nifanye nini? (True Story) - JamiiForums

Nakumbuka siku moja natokea sehem dar wakati wa likizo nikamuibua mmoja kwenye DSM ni shida

Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM - JamiiForums

Kuna siku nikiwa bado dar niliponea chup chup kupigwa risasi na mme wa mtu kisa nimeenda kwake nkidhani mme wake kasafiri ilikuwa shida nikaokolewa na watu wa msikitini, yaan tabu tupu 

Wanawake mlio olewa tuwekeni wazi tunapowatongoza,riziki ulinifanya kukosakosa risasi kwa kunidanganya uko single - JamiiForums

Kuna siku nimeponea kuchomwa kisu hivi hivi, yaan nikaangalia faida ya haya mambo nikawa sijaiona, nilimfuata demu kwake, kumbe ana wenzake na wote wanataka ni hatari ndugu zangu

Sitarudia kumfuata demu kwake! Ilibaki kidogo nichomwe kisu Singapore - JamiiForums

Nilikuwa na techniques maalumu na Nina wapata aisee
Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira - JamiiForums

Nimefanya mpaka research ya mambo haya kuanzia Rwanda,Burundi,Tz ,Kenya na Uganda yaan kila ladha
East Africa,wadada wa Tanzania ni watamu kuliko kwingine,my own research, - JamiiForums

Nimetengana na wanawake kibao kisa tabia ya kutoridhika na kugeuka kila apitapo mwanamke mzuri mwenye tako na shape kali
Naomba msaada wa ushauri, tabia yangu hii imenitenganisha na wapenzi lukuki anatamani kuiacha - JamiiForums

Kuna siku nimechezea kwa mke wa balozi nikizuga kumfundisha tuition hii ilikuwa hatari japo sikugundulika, nikala hela wee
Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana nini? Nimekumbuka utamu wa mke wa balozi - JamiiForums
......
Yalipoanza kunikabili makubwa mmm ndo nikaanza kuona bora nitulie hakika yan mambo si mazuri na umri unawenda hivo

Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe - JamiiForums

Nawahasa vijana tuokoke hasa ukiona umegonga miaka 30 bila kujirekebisha aisee unaweza kuukwaa UKIMWI ni hatari
Baada ya kula ujana vya kutosha, sasa natundika daluga, nimefanya mengi yanatisha na ili la . Baada ya kula ujana vya kutosha, sasa natundika daluga, nimefanya mengi yanatisha na ili la . Reviewed by Love Psychologist on April 08, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.