Sponsor

banner image

recent posts

Wanawake mlio olewa tuwekeni wazi tunapowatongoza,riziki ulinifanya kukosakosa risasi kwa kunidanganya uko single



Nilikosa kosa risasi kisa mke wa mtu,
Namkumbuka na picha yake ninazo,

Sasa kuna mtandao mmoja unaitwa mygamma.com nilipata msichana mmoja anaitwa riziki, nikamdanganya nasoma IFM Kumbe nilikuwa form six shule moja maarufu hapo Tanzania,

Tukawa marafiki sasa akaanza kuuliza kwamba we ni kabila linalopiga katereloo nkasema ndiyo akaanza kunitania nkasema we cheza,

Alikuwa ni mrembo sana, mrefu ni anavutia mno,

Nikampiga msitari akakataa , baada ya week akanitafta tena ananiita wa katelelo vipi? Nkamkataza jina ilo,

Sasa akasema ninfundishe kumbeI
Nilikuwa sijui ila nikamwambia najua mi.fundi , akasema ok.nimwambie inafanyaje, nikaanza uongo uongo nakumbuka nilimwambia mbinu ambazo si rahisi .mtu kichomoka nikamwambia mpaka watu wanazimia,

Akasema nakuja tufanye ila hatutatumia kinga , ila sharti tupime,

Dah nilikuwa naogopa kupima ukimwi lakini nikajikaza kisabuni nikapima tukakutwa.safi (Riziki unakumbuka namba yako na yangu za kuingilia chumba cha kupima pale red cross ilikuwa 13 na 14)

Tukapima tukakutwa safi,

Tukaenda kigamboni kuna.guest house inaitwa P5 kama riziki uko hapa unakumbuka,
Ilikuwa elfu 5,
Uzuri siku ya kwanza tukakubaliana akasema anaogopa mimba, ila nisifunge gori nyavuni, tukakubaliana nikaanza gemu tatizo langu huwa nachelewa kufika kileleni ,ye akatangulia ila mimi bado kutokana na yale mastairi ya katerelo kunichosha nkajifanya nafunga goli maana style ilinichosha mgongo ule mkao dah hatar,
Si nikakimbia choon kujifanya nafunga kule goli kuzuga dah akanifuata akauliza wapi nionyeshe ulipofunga nikamdanganya nshamwaga maji, akasema anahofia asipate mimba, nadhani riziki kama uko hapa unajua,

Tukapanga siku nyingine akanambia nilipie room anakuja na.chips na peps, si akaja mara katikakati ya michezo akasikia simu inaita, kuona imeandikwa husband,.mmmmm nilimuuliza mbona ulinambia kwamba huna mme akasema hajamuoa rasmi ila baadae watafunga ndoa japo anaishi kwake,
Katika maongezi akasema mme wangu niko chuoni cbe nimefuata matokeo, nkajua alikua chuo pia kumbe,

Sasa mme wake kumbe ni afisa usalama ambaye hatunzi siri hadi mke wake anajua kazi yake,

Si mme wake akagundua kwamba ninamla mke wake, akatumia ustaarabu akanipigia aksema achana na mke wangu, aisee niliogopa,

Mr R***A akapanga safari fake kwenda zanzibar, kumbe anataka kurudi gafla atufumanie,

Aliaga , riziki akanipigia kwamba niende kimara baruti maana mme kasafiri,

Sasa nikatimba ,kufika geti likafunguliwa nikaingia nikakaa kwa.sofa akanipa juice, kumbe mme wake akafanya timing akarudi kufika akagonga mlango akagonga mke wake kwenda kufungua nami nachungulia, nilizunguka nyuma dirishani haraka ila mi kwa muda ule sikujua kama ndo mme wake maana nilikuwa sijaonana naye, dah nikiwa ninetumia mlango mwingine kutoka nje nilisikia akisema huyo kijana yuko wapi,

Mke akasema nani, mme hakujibu akaingia chumbani, na kutoka kwa hasira akisema nimeambiwa kaingia hajatoka , akaanza ku shout akipiga meza kwamba."unaona hii yaani nilitaka nisababishe mtu awe kilema" akionesha pisto ,nilivyokuwa nachungulia dah dah dah, niliruka geti mchana saa sita pamoja na kwamba juu waliweka vigae vya chupa viliniumiza nikaangukia mgongo hatari, niliumia, ila nikakimbia nachechemea, kumbe nimesahau wallet yenye vitambulisho na hela,

Nilikimbia nikafika baruti dah sikuwa na nauli,
Nikaenda msikiti wa baruti wakanipa sh 5000 japo nauli ilikuwa 250 kipindi hicho,

Nikawadanganya nimekabwa, wakanipa,

Sasa sijui nyuma nini kiliendelea kwa muda huo,

Baada ya siku tatu nikaona namba mpya ya zantel akanambia tuwe tunachat kwa hii hapa, nikasema naogopa , ila baadae nikaendelea kumla,

Siku moja akaja akanambia anataka nichezee engine ya Volkswagen bettle, yaan engine yake si ipo nyuma.,nikaingiza ikagoma.akasema ataleta mafuta maana anapenda nyuma maana wenzake wanamwambia nyuma akifanyiwa ni patamu, anajiskia raha , sikuweza hiyo,

Mpaka nakuja kutoka tanzania sikumuaga numeshapoteza namba yake,

Riziki nadhani unakumbuka email yangu ambayo nilikutumiaga attachment fulani ila yako nikituma nao ina bounce

Namba yangu.ile.ya +25571886***9 siitumii

Nitafte tupige mambo nimeimprove mnoo,

Ila visa vinanifanya kuwa makini sana nimepitia mengi mnoo,
Wanawake mlio olewa tuwekeni wazi tunapowatongoza,riziki ulinifanya kukosakosa risasi kwa kunidanganya uko single Wanawake mlio olewa tuwekeni wazi tunapowatongoza,riziki ulinifanya kukosakosa risasi kwa kunidanganya uko single Reviewed by Love Psychologist on April 08, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.