Sponsor

banner image

recent posts

Dudubaya Hana Malinda, Nimeshawahi Kulala Naye”-Chiddi Benz



Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Chiddi Benz ameibuka na kumtupia maneno ya kashfa msanii mwenzake Dudubaya na kudai kuwa hana malinda.

Kwa muda sasa kumekuwa na tetesi za kuwa msanii huyo mkongwe Dudubaya amesemwa kuwa anashiriki mapenzi ya Jinsia moja tetesi ambazo mwenyewe ameshazikataa na kuzipuuza.

Lakini sasa msanii mwenzake Chiddi Benz ameibuka na kutoa tuhuma kali kuwa Dudubaya hana malinda na ana uhakika kwa sababu yeye alishawahi kumgonga.

Kwenye mahojiano aliyofanya na na kituo kimoja cha habari, Chiddi Benz alifunguka haya Kuhusiana na tuhuma hizo:

Mimi naamini kwamba Dudubaya hana Malinda kwa sababu nilimkaza nilikuwa nalala naye na aliniomba nikae naye chumba kimoja”.

Chiddi Benz na Dudubaya wameshawahi kuwa na Bifu siku za nyuma na Hivi sasa bifu hilo limeibuka tena Baada ya Dudubaya kuonekana kushiriki katika tamasha Lao Wasafi festival na Chiddi Benz Kutoswa.
Dudubaya Hana Malinda, Nimeshawahi Kulala Naye”-Chiddi Benz Dudubaya Hana Malinda, Nimeshawahi Kulala Naye”-Chiddi Benz Reviewed by Love Psychologist on April 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.