Sponsor

banner image

recent posts

Mange Kimambi Ampokea Shetta Kwa Mikono Miwili..Akubali Kuwa Mke wa Pili



Mwanamama maarufu kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi amefunguka na kusema yupo tayari kuolewa na staa wa Bongo fleva Shetta Baada ya kuweka wazi hisia zake.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Bongo 5, Shettta aliweka wazi kuwa anamkubali sana Mange Kimambi na hata kudai kuwa angependa kama angeweza kuwa Mpenzi Wake na hatimaye kufunga naye ndoa.

Mange amemjibu Shetta na kusema kuwa yupo tayari kufunga naye ndoa na kwa pamoja waweze kulea watoto wao.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mange amemuandikia Shetta Ujumbe huu:

"Doh ngoja nianze zoezi maana nisije vunjwa mgongo kigagula mie, maana vijana huwa wanasifa shurti aone mpaka pua zimekutanuka ndo akupe break . . Alafu Shetta ujue mi nna kigugumizi kizuri kwenye hayo mambo? . . . 

@officialshetta tuwalee tu watoto wetu wanne, Kina Qayla na kina Kenzo. Very cute family . . . 

Ila uendelee kutoa mahit kama hili dude la Hatufanani, maana mie mwanaume asie na kiki au hela huwa mapenzi yanakauka haraka" Mange
Mange Kimambi Ampokea Shetta Kwa Mikono Miwili..Akubali Kuwa Mke wa Pili Mange Kimambi Ampokea Shetta Kwa Mikono Miwili..Akubali Kuwa Mke wa Pili Reviewed by Love Psychologist on April 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.