Sponsor

banner image

recent posts

If you want to enjoy love, fake it.


I have come to an agreement with this thought.

Let me explain.

Kwanza kabisa I am not talking about sex. I am talking about love as it is - Love. Not love making. LOVE as Love.

Tunaumizwa sana kwa kutumia hisia za kweli kwa tunaowapenda. Mapenzi yalivyo, unaweza kuumia kwa wivu na mashaka tu, siyo lazima hadi utendwe.

Mapenzi yanauma. Hisia zinapenda ukamilifu. Zinataka kila kitu kiende vile zenyewe zinataka. Kikienda tofauti kidogo tu, zinaumia. Zinatesa. Zinanyanyasa.

Awe mke au mume. Mchumba au mpenzi tu. Kama unampenda kweli, lazima kuna 'mateso' fulani utakuwa unayapitia. Utumwa wa kuwaza na kuwazua.

Fake feelings haziumi. Wale vijana wasio serious na mahusiano huwa na amani. SIo kwamba hawafurahii, wanafurahia ila hawapo serious tu. Hawawekezi hisia bali muonekano wake. Na hiyo inawaepusha na maumivu. Aidha kwa kujua au kutokujua.

Unaweza kumjali mwenza wako bila kumaanisha. Au ukamtumia ujumbe mzuri wa kumsifia kisha ukapotezea. Au ukampa zawadi na ukajifanya kama hamna lililotokea. Yaani, unaweza kufanya kila kitu bila ku-attach na feelings zozote na bado kikawa na impact. Utanusurika na mateso. Utaishi kwa amani.

Nasisitiza tena, siongelei SEX.
If you want to enjoy love, fake it. If you want to enjoy love, fake it. Reviewed by Love Psychologist on April 16, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.