Sponsor

banner image

recent posts

Kamwe usimwamini mwanamke!.



Ndugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah!

Unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia mihogo na maji yy akala chips kuku lkn mwishowe akakusaliti na kukufanyia unyama wa ajabu! Hebu jiulize swala dogo tu!

Kama anaweza kutoa mimba au kutelekeza kichanga cha Mwenyezi Mungu jalalani ww n nani haswa akuache!

Hawa viumbe hawaeleweki! Mwanamke unaekutana nae wakati keshaota meno 32 anaweza kukufanyia lolote na kwa wakatiwowote! Usimchekee sababu sio mama ako mzazi!

Wanaume wenzangu mtanielewa ila wavulana siwalazimishi kunielewa.Mwanamke unaemuweka ndani na kumpa siri zako zote ndo adui ako mkubwa kesho!

Hawa viumbe wametumwa kutuangamiza!
Kamwe usimwamini mwanamke!. Kamwe usimwamini mwanamke!. Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.