Sponsor

banner image

recent posts

Kuna faida zipi na hasara zipi kwa kufanya mapenzi kila siku ya kalenda?



Habar wakuu ,
Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku

Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika

Wazungu wanasema too much is harmful naamini kutakua na athari za kufanya hili tendo kila sku na pia inaweza kua kuna faida pia

Mnakaribishwa jaman kuchangia mawazo maana daah ishakua addiction sasa najikuta siwezi ku skip day bila ku do ......
Kuna faida zipi na hasara zipi kwa kufanya mapenzi kila siku ya kalenda? Kuna faida zipi na hasara zipi kwa kufanya mapenzi kila siku ya kalenda? Reviewed by Love Psychologist on April 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.