Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.
Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious)
Reviewed by Love Psychologist
on
April 25, 2019
Rating:

No comments: