Sponsor

banner image

recent posts

Kuna wanawake wanyenyekevu kwa wanaume hadi raha.



Kuna wanawake wanyenyekevu jaman hadi raha hata kucheat unawaza mara100 unaona kama humfanyii haki kbsa.

Leo bwana nmegombana sana na bibie me ndio mwenye kosa sema kujiona nunda nkaleta ununda wangu kuwa sina kosa. Mwsho wa siku bibie kaniomba msamaha tena kwa unyenyekevu kama yeye mwenye kosa.

Jaman imeniuma sana najutia hapa nawaza nimpigie sim nimwombe msamaha kwa kweli.

Nimegundua ununda haufai sometime kwenye mahusiano, kama unakosa omba msamaha tu.

Kma kuna wanawake wa dizaini hii wengine wenye tabia kama hii, mungu awabariki sana.
Kuna wanawake wanyenyekevu kwa wanaume hadi raha. Kuna wanawake wanyenyekevu kwa wanaume hadi raha. Reviewed by Love Psychologist on April 16, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.