Sponsor

banner image

recent posts

Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii.



Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina
Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii. Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii. Reviewed by Love Psychologist on April 16, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.