nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa.
ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka kupata ridadansi yangu kama miezi mitatu imepita hivyo bado napambana kutafuta ajira lakini bado sijafanikiwa.
nahitaji mwanamke atakayenielewa kwa haya mazingira yangu, mvumilivu lakini pia ambaye ataniongoza kwa ushauri jinsi ya kutoka katika haya maisha ili basi baadae mimi na yeye tuje kuwa na uhusiano mwema.
ikitokea huyo mwanamke akawa na mali zake au pesa zake mimi sitohitaji anipe hizo hela zake isipokuwa nitataka mimi na yeye tushirikiane kwa kuchanganya mawazo yetu kusudi tuweze kuwa na mabadiliko makubwa katika maisha yetu.
kwa yule mwanamke ambaye ataona ninamfaa na ameridhika na ukweli wangu hapo juu basi namkaribisha kimawasiliano zaidi kupitia email hii ya walterfrank848@gmail.com. Umri uanzie mwaka 30 hadi 40 tu na si chini ya hapo au zaidi ya hapo tafadhali. dini haina shida kwangu.
asanteni na karibuni.
Kwa atakayeridhika na huu ukweli wangu namkaribisha rasmi tuianze safari ya kimahusiano hadi ndoa
Reviewed by Love Psychologist
on
April 26, 2019
Rating:

No comments: