Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26.
Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?
Reviewed by Love Psychologist
on
April 26, 2019
Rating: 5
No comments: