Sponsor

banner image

recent posts

Love without Freedom is Useless! Mpe uhuru..



Haijalishi umekutana naye uso kwa uso au mtandaoni, Ukweli utabaki kua Ukweli yakwamba Mwanamke akiwa ametokea kukupenda Haina haja ya kumpa Mashariti kwa sababu mwanamke akipenda Hupenda kwa Hisia .

Unapokutana na mtu mzima alokomaa kiumri na kiakili , Kamwe hupaswi kumpa mazingira ya yeye kujihisi kama ni Ordinary schooo girl wako kiasi kwamba Una Muamria alale saa ngapi? Aamke sa ngapi? Muda gan asiwe online , asitumie FB ,insta , asitumie JF , Akitumia asichangie kitu chochotr wala asilike yoyote ...... Hii kitu ni mbaya sana , Hamjui tu ila ukweli nikwamba "We should love Unconditionally " kama hauna mawaa mawaaa utakubaliana namm kua Penzi la kweli haliitaji Mashriti.

Wanawake ni viumbe wenye mioyo michanga sana, ni wasikivu nawengi wa huruma hasa pale ANAPOKUA AMEAMUA KUKUPENDA NA KUTULIA NAWEWE .sasa unapompa Masharit maana yake unamuonyesha kua Humuamin., nasana unamuondolea Uhuru wake..Sikieni mwanamke akikupenda yupo tayari kubadilika kwa ajili yako nabila hata wewe kumwambia au kumtaka afanye ivo, Utaona anakuambia "Baby nmeamua kuachana na mitandao kwanza inanipa wivu tu nikiona wanawake wengine wanakusifia" ... Huyo ndio mwanamke.

Sasa badala ya kumpa mashariti kibao kwann usimwambie * Baby you are big lady, i hope you can go out there ,log in and still you can take care of yourself?* ... Chakushangaza unampa mashariti Mwanamke unayedai unampenda kiasi kwamba mpaka unataman ktk simu yake iwemo namba yako tu, sawa lkn je ktk simu yako nayeye yupo mwenyewe ???? .

Achen kua wanaume msojiamin na wenye wivu ulopitiliza , mpe uhuru, kua na wivu wakiasi , mpende mwanamke wako kadiri ya uwezo wako ,Kisha tulia bila kungoja kitu in returns ...yeye mwenyewe atajitune mpaka awe vile unavyotaka.

Sikia ,Mwanamke kama hajakupenda nakwamba Imani yake ni yakuruka ruka ,Broo HATA UFANYAJE ,HATA UMPE MASHARITI GANI. HATA UFANYAJE NAKAZIAAAAA HATA UFANYAJE KAMA NIWAHIVO ATAENDELEA KUA WA IVO TUU SIKU ZOTE ...
NAKAMA ANAKUPENDA NA KAAMUA KUTULIA NAKUBADILIKA HUYU HATA UMPE MASHARIT USIMPE BADO ATAKUA MWEMA KWAKO TU SIKU ZOTE, sanasana mawivu yako makubwa makubwa yatakua yanampa hofu namwisho anaKuona km mtu usojali jitihada zake anazofanya.

Nikinukuu swali la Miss Natafuta moja ya uzi wake anauliza
 *Wanaume wa JF kwanini mkitutongoza mnatukataza tusitumie JF?*..........swali hili ni ni dogo sana , Lkn ukiona mwanamke anakuuliza hili swala, Ujue Uhuru wake nizaidi ya kila kitu , Waweza kua muhongaji wake mzuri ,lkn kama utamnyima uhuru amini nakuambia, Hiyo pesa zako atazitumia, atafata masharit yako kwakua bado Hajawa huru kiuchumi LAKINI SIKU AKIWA HURU KIUCHUMI ,habari nawewe kwishaaaa, nautatupwa katika ziwa la Sahau na hutoamin kama ndio yule mwanamke alokua anakunyenyekea...nakwann Ulazimishe "Utii " tena uulazimishe kwa kisingizio yaaan "Ukitaka nikuoe jitoe JF" ??? Bro are you serious ? .


Jaribuni kutumia Kwa faida Mioyo walojaliwa NASIO kuitumia kihasara !! Wapeni uhuru wanawake wenu alafu kupitia huo Uhuru muwajue ndani na nje kinyume nahapo mtapata Pretenders
Love without Freedom is Useless! Mpe uhuru.. Love without Freedom is Useless! Mpe uhuru.. Reviewed by Love Psychologist on April 22, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.